Sunday, February 15, 2009

Virusi vya Valentine

Siku kama ya jana kuna watu ambao kwa namna nyingine wao ni kuharibu tarakishi za wengine na au kunyakua password.Nimepokea barua pepe na kadi pepe kibao zikinitakia siku ya wapendanao.Kitu ambacho nimekuwa nafanya ni kuzifuta,bila kuzisoma.Ukifungua tu imekula kwako.Bonyeza hapa some zaidi.

Nashauri kama ukipata barua pepe za namna hiyo kwa mtu usiomjua ama usifungue kabisa au ukifugua kuna link mule ndani usiifungue.Tuendelee kupendana

6 Comments:

At 2:42 PM, Blogger Bwaya said...

Kaka umekuwa kimya...shule bila shaka eh?

Wanasemaje Udosini.

 
At 7:32 PM, Anonymous Anonymous said...

mzee Ndabagoye,habari mkuu?
www.ringojr.wordpress.com

amani kaka
rasta hapa.

 
At 8:14 PM, Anonymous James said...

Ebwanaeee upo mkuu? Aisee nilipotea kidogo,nilikua nimefichwa bwana si unajua mambo yale pale??
Otherwise niko poa.

 
At 6:16 PM, Blogger Egidio Ndabagoye said...

Kaka Bwaya nilikuwa nimebanwa kimtindo.

@James dah!,vipi kaka najua sana mambo yale kule.Karibu sana

 
At 4:00 PM, Blogger Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli umekuwa kimya. haya karibu tena

 
At 10:28 AM, Blogger luihamu said...

samahani fungua kurasa ya kuchangia mawazo kuhusu jumuiya ya wanablogu tanzania.

http://blogutanzania.blogspot.com/

www.ringojr.wordpress.com

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

eXTReMe Tracker